Vituko vya Go-go Mbugani

Vituko vya Go-go Mbugani

  • KSh290.00


Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 9-10 (Kiwango cha 3-4). Ni kitabu
kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuongoza

Mbuzi kwa jina Go-go anapotelea katika mbuga ya wanyama ya Nairobi. Anakumbwa na hofu akikumbuka wanyama hatari wa porini wanaoweza kumgeuza kitoweo. Mbuzi Go-go hana budi kutumia akili la sivyo apatwe na makubwa. Je, Mbuzi Go-Go atafanya nini ili arejee kwao salama salamini?


We Also Recommend